">

Friday, July 1, 2011

Bora laptop au laptop bora!???

katika dunia ya sayansi na teknologia ,mabadiliko mengi hutokea kila kukicha na kama ni mfuatiliaji,au mpenda maendeleo lazima utahitaji vihabarishi kama hivi,je wafahamu kuhusu;

13″ Mac-Book Air.

siku ya uzinduzi kwa mbali muhasisi steve jobs akitoa ,'"presentation"
Hii ni ya kisasa zaidi;  mpaka sasa hakuna machine katika soko ina tia hata pua au kucha kuifikia sifa laptop hii.Kama ilivyokadiriwa, sifa za muundo wake ni gumzo tosha.Bado siwezi amini hawa wabunifu wameweza kutengeneza mashine hii katika muonekano mdogo na nyepesi.

hii ndio 13″ Mac-Book Air. katika mwonekano tofauti,

No comments:

Post a Comment