HELLO! FOR FREE ADVICE OR QUESTION ABOUT ANY PROBLEMS CONCERNING COMPUTER DON'T HESITATE TO WRITE ON THIS WALL AND WE WILL FIND YOU A SOLUTIONS...WE ARE HERE TO SERVE!
click a link below>>
http://www.facebook.com/pages/Ej-it-Solutions/220805611271440
">
Tuesday, June 28, 2011
Friday, June 24, 2011
Katika uwembamba na wepesi "dell laptop hii ni zaidi"
![]() |
Dell Latitude Z600 laptop |
![]() |
Dell latitude Z600 laptop ikiwa kwenye chaji stand yake inayotumia teknologia ya wireless....upoooo? |
Usiogope bei,waswahili husema kizuri gharama ,inauzwa kuanzia dola za kimarekani 2,000 inategemeana na uwezo wake....ciao
Fahamu yanayojiri katika ulimwengu wa Teknologia
JAPAN Waongoza kwa kutengeneza kompyuta kali zaidi duniani.
- Katika listi ya kompyuta 500 bora zenye kiwango cha ubora na uwezo wa juu zaidi duniani iliyotolewa hivi karibuni,imeonyesha kuwa kuna mabadiliko mengi yaliyofanyika.
- Baada ya kutolewa kwenye chati mwaka 2004,Japan hivi sasa wamerudisha heshima yao na kurudi tena kileleni kwa kufyatua " top-performing supercomputers in the world".Chati ya hivi karibuni ya kompyuta 500 bora imeonyesha muundo wa kwanza uliyoongoza mpaka hivi sasa unaoitwa K Computer,uliotengenezwa katika taasisi moja ijulikanayo kwa jina la RIKEN Advanced Institute for Computational Science iliyopo mjini Kobe.
- Muundo wa K Computer una uwezo katika utendaji zaidi " 8 quadrillion calculations per second (petaflop/s)".(hii ni processor zenye kiwango cha juu duniani zinazotengezwa na kampuni ya intel)
Muundo mpya wa K Computer uliotengenezwa na RIKEN Advanced Institute for Computational Science ndio "world’s most powerful supercomputer "mpaka sasa.
Chati hii ya ubora hutolewa mara mbili kwa mwaka iliyoidhinishwa na baraza lijulikanalo kama "the annual U.S. and international supercomputing conferences"
kufuatilia chati hii ya kompyuta zenye ubora na uwezo zaidi duniani tembelea wavuti hii; www.top500.org
Tuesday, June 21, 2011
EJ & IT Solutions"Totally Computer Care"
What image does your company project?
At EJ & IT SOLUTIONS,Graphics & Designs, we provide a wide variety of graphic design services, including, but not limited to:
- logo design,
- stationary design,
- application interfaces,
- icons,
- splash screens,
- static banner ads,
- rotating banner ads,
- buttons,
- CD labels,
- CD cases,
- screensavers,
- backgrounds,
- box images,
- Installation images, etc
Computer challenged or Tired of messing with your computer? Let us take control and fix it for you! '
TECHNICIANS ON SITE
Have one of our technicians come to your home/office and solve your computer problems.
- Setup & Installation
- Troubleshooting
- Repairs
- Training
- Upgrade
We help you to install anything in or attached to your computer
- Software
- Hardware
- Internet
- Wireless
- Routers
- Peripherals
- PDA's
- Cameras
PC TUNE UP
· Free Virus Scan
· Free Spyware Scan
· Free Auto Maintenance
· Free Hard Drive Derangement
· Remove Cookies and Internet Memory
With EJ & IT SOLUTIONS"Totally Computer Care", computer diagnosis, repair, security, software and training are all included in the price of our service.
§ We have helped scores of businesses with their graphics design and web design needs in Dar es Salaam and Arusha city areas.
§ Our work-plans also is to reach all other regions inland and beyond United State of Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, and many more.
§ Contact our office at: (+255) 715-915657/(+255)754-915657 or
email us at; emmanuelyj@gmail.com
email us at; emmanuelyj@gmail.com
YOUR DEMAND IS OUR SERVICE.
Subscribe to:
Posts (Atom)